1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SPIKA WA PALESTINA NGUVUNI

6 Agosti 2006

GAZA:

Israel imemtia nguvuni spika wa Bunge la Palestina, Aziz Dweik

Kiongozi wa chama-tawala cha HAMAS.Dweik alikamatwa nyumbani kwake katika mji wa ramallah wa Ukingo wa magharibi pale vikosi vya Israel vilipoivamia nyumba yake.

Vikosi vya Israel vilikwishawatia kizuizini mawaziri 8 wa serikali ya HAMAS .Mawaziri 3 kati yao wameshaachwa huru.