SiasaStella Nyanzi: Mwanaharakati wa haki za binaadamu Uganda03:05This browser does not support the video element.SiasaGrace Kabogo04.05.20224 Mei 2022Stella Nyanzi mkosoaji mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, baada ya miaka ya ukandamizaji wa kisiasa kwenye nchi yake, mwanaharakati huyu wa haki za binaadamu amepata makaazi nchini Ujerumani. Tazama kwenye #VijanaMubashara #77AsilimiaNakili kiunganishiMatangazo