1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ST.PETERSBURG:Kansela Schroeder ziarani Russia

8 Oktoba 2005

Kansela Gerhard Schroeder wa Ujerumani, amemuhakikishia Rais Vladimir Putin wa Russia kuwa badiliko la serikali nchini Ujerumani halitoathiri uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi zao mbili.Kwa mujibu wa taarifa rasmi,Schroeder anataka kujadiliana zaidi juu ya ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya nishati.Yasemekana kuwa suala la mabadiliko ya hali ya hewa pia huenda likajadiliwa.Kansela Schroeder ameanza ziara yake ya siku mbili nchini Russia,siku ambayo Rais Putin ametimiza umri wa miaka 53.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW