JamiiSudan Kusini: Ubunifu wa mitindo ya mavazi hata katika eneo la vita01:23This browser does not support the video element.Jamii02.04.20192 Aprili 2019Hata kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe hakujamfanya Winnie Godi kuikimbia Sudan Kusini. Anataka kutumia ufanisi wake kama mbunifu wa fasheni kwa manufaa ya nchi yake.Nakili kiunganishiMatangazo