JamiiAfrikaSuluhisho la msongamano wa malori baina ya Uganda na Kenya03:23This browser does not support the video element.JamiiAfrika24.01.202224 Januari 2022Msongamano wa magari ya mizigo kwenye mpaka kati ya Uganda na Kenya umendelea kwa wiki ya tatu licha ya kuondolewa kwa masharti kwa waendeshaji kuwa na vyeti vya kupimwa COVID-19 kwa saa muda wa saa 72. Nakili kiunganishiMatangazo