1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SYDNEY:Taa zazimwa katika jiji la Sydney

1 Aprili 2007

Taa zilizimwa kwa muda wa saa nzima kwenye maofisi na majumbani katika mji wa Sydney nchini Australia kama ishara ya kuwatanabahisha watu juu ya hatari ya ongezeko la joto duniani.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW