MigogoroMashariki ya KatiSyria: Wafungwa chini ya utawala wa Assad waachiwa huru03:28This browser does not support the video element.MigogoroMashariki ya KatiHawa Bihoga03.01.20253 Januari 2025Chini ya utawala wa Bashar Assad, maelfu walitoweka na wengine kufungwa gereza nchini Syria. Baada ya kuanguka kwa utawala wake, baadhi ya Wasyria ambao walifungwa kwa miaka mingi waliunganishwa tena na familia zao.Nakili kiunganishiMatangazo