1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taasisi zisizo za kiserikali zina dhima kubwa

10 Februari 2012
Mradi wa mafunzo nchini Niger.
Mradi wa mafunzo nchini Niger.Picha: picture alliance / ZB

Taasisi zisizo za kiserikali na mashirika ya kijamii yamekuwa yakishiriki kikamilifu katiika michakato yote inayohusu maisha ya kila siku ya kijamii, kutoka siasa, haki za binaadamu, afya hadi utunzaji wa mazingira.

Mohammed Dahman katika "Makala Yetu Leo" anaangazia dhima na wajibu wa taasisi zisizo za kiserikali na mashirika ya kijamii duniani katika wakati ambapo nafasi ya taasisi hizo ikiongezeka. Kusikiliza makala hiyo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW