1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Taiwan ina wasiwasi na mazoezi ya kijeshi ya China

23 Septemba 2023

Waziri wa Ulinzi wa Taiwan, Chiu Kuo-cheng, amesema kuongezeka kwa mazoezi ya kijeshi ya China katika maeneo ya karibu na Taiwan

Taiwan | Chinesisches Marineschiff Shandong
Picha: Taiwan Defense Ministry/AFP

Waziri wa Ulinzi wa Taiwan, Chiu Kuo-cheng, amesema kuongezeka kwa mazoezi ya kijeshi ya China katika maeneo ya karibu na Taiwan kunaelekea kutodhibitika na kunaweza kuzusha ajali isiyokusudiwa.

Taiwan imesema katika kipindi cha majuma mawili yaliopita kumeshuhudiwa ongezeko la wanajeshi wa China, ndege na meli za kivita na ndege zinazoruka bila ya rubani.

China ambayo imekuwa ikisisitiza kwa muda mrefu kuwa Taiwan ni sehemu yake haijasema lolote kuhusu mazoezi haya ya sasa karibu na kisiwa hicho.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW