Tamasha la Taa la Berlin linafanyika licha ya kuwepo wito kutoka kwa serikali kuokoa umeme kwa sababu ya mzozo wa nishati. Eneo la kihistoria la Brandenburg ni miongoni mwa majengo yaliyowashwa taa kama sehemu ya tamasha hilo litakalomalizika Oktoba 16.