UtamaduniTamasha maarufu la Oktoberfest 01:34This browser does not support the video element.Utamaduni28.09.202328 Septemba 2023Oktoberfest ni tamasha kubwa la unywaji bia linafanyika kila mwaka Ujerumani na mara hii wageni wamefikia milioni 3.4. Mbali na bia wageni huvutiwa na utamaduni wa mavazi ya Bavaria. Tizama video hii kwa maelezo zaidi ya #kurunziujerumani Nakili kiunganishiMatangazo