TANGAZO: MATATIZO YA KIUFUNDI13.10.200813 Oktoba 2008Nakili kiunganishiMatangazoTunasikitika kutokana na matatizo ya kiufundi hatutoweza kuwaletea Taarifa zetu kwenye Mtandao kwa wakati huu. Mtaweza kupokea tena taarifa mbali mbali kama kawaida mara tu matatizo haya yatakapotatuliwa. Tunawaomba radhi kwa hitilafu zilizotokea.