1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TANU ya Tanganyika na KANU ya Kenya zilikula sahani moja

Amina Aboubakar7 Desemba 2011

Kuelekea uhuru wa Bara la Afrika, Tanganyika ilibeba jukumu muhimu sana la kusaidiana na vyama vya ukombozi katika mataifa jirani kupigania uhuru kutoka mikono ya tawala za ukoloni wa kigeni.

Rais wa Kwanza wa Tanganyika, Julius Nyerere, na Malkia Elizabeth II.
Rais wa Kwanza wa Tanganyika, Julius Nyerere, na Malkia Elizabeth II.Picha: AP

Amina Aboubakar ameongea na mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Martin Shikuku, juu ya kile ambacho Tanganyika ilichangia katika ukombozi wa Kenya.

Mahojiano: Amina Aboubakar/Martin Shikuku

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW