UchumiAfrikaTanzania: Changamoto ya huduma ya umeme yazidi kuwa kero02:22This browser does not support the video element.UchumiAfrika25.09.202325 Septemba 2023 Tatizo la uhaba wa umeme nchini Tanzania linaathiri maisha ya watu na shughuli zao za kiuchumi, serikali ya Tanzania imekiri kupungua kwa kasi ya uzalishaji umeme hali inayopelekea kupatikana kwa umeme wa mgao katika maeneo tofauti ya nchi. Nakili kiunganishiMatangazo