1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na China zasaini hati 15 za makubaliano

01:19

This browser does not support the video element.

4 Novemba 2022

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya siku tatu nchini China. Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na kiongozi wa juu kutoka bara la Afrika, tangu Rais Xi alipochaguliwa tena na Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kwa muhula wa tatu. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW