Tanzania: CUF yadai kutotishwa na kusajiliwa ADC
5 Septemba 2012![Mwenyekiti wa chama cha CUF Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba.](https://static.dw.com/image/6109266_800.webp)
Matangazo
Katika mahojiano maalumu na mwandishi wetu George Njogopa, mwenyekiti wa
chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba hata hivyo ametilia wasiwasi namna
chama hicho kilivyopata usajili wa kudumu tofauti na inavyokuwa kwa
vyama vingine vya siasa.
(Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri: Saumu Yusuf