1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kampeni ya Afya ya Uzazi Salama

14 Machi 2014

Wanawake wenye ujauzito katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania bado wapo katika hatari ya kupoteza maisha wakati wa kujifungua, pamoja na serikali ya taifa hilo kuahidi kujenga vituo vya afya vya dharura kwa wanawake.

Symbolbild Frau mit Kind Mutter Afrika
Picha: TONY KARUMBA/AFP/Getty Images

Takwimu za umoja wa mataifa zinaonesha kila siku wanawake 24 wanakufa kutokana matatizo ya uzazi. Kutoka mkoani Rukwa nchini humo Sudi Mnette amezungumza na Mratibu wa muungano wa kimtaifa wa Utepe Mweupe na uzazi salama-White Ribbon, tawi la Tanzania, Mary Mlay kwanza anaanza kwa kuelezea sababu za vifo hivyo. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Mohamed Abdulrahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi