1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kinana ajiuzulu CCM

28 Mei 2018

Katibu Mkuu wa chama tawala CCM, Abdulrahman Kinana amejiuzulu kufuatia tetesi za muda mrefu kwamba alikuwa akifanya kazi katika mazingira magumu. Amekabidhi barua ya kuachia madaraka kwa Rais Magufuli.

Abdulrahman Kinana
Picha: Public Domain

J3: 28.05.2018 - TZ/CCM -Abdulrahman Kinana steps down - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

DW imezungumza na na Profesa Ignald Mihanjo, kada wa taifa wa CCM ambaye pia ni mkufunzi wa makada na viongozi wa chama hicho, na kwanza kuuliza  hii si mara ya kwanza mwanasiasa huyo anaelezwa kuwa na nia ya kutaka kujiuzulu. Je, ni changamoto gani hasa zikimfanya kufikia maamuzi hayo ? 
 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW