Tanzania: Lema aachiwa kwa dhamana
6 Machi 2017Matangazo
Dhamani hiyo ni ya bondi ya shilingi milioni moja za kitanzania na sharti la kuwekewa bondi na wadhamini wawili ya shilingi milioni moja kila mmojaKadhalika ametakiwa pia kuahidi kufika mahakamani katika kesi ya msingi ya uchochezi inayomkabili. Pamoja na hilo masuali mengi yanaulizwa kuhusiana na suala hili ikiwa ni pamoja na mazingira ya kuachiwa kwake, na kutokana na hilo DW imemtafuta wakili wa mwanasiasa huyo Peter Kibatala na kwanza kuumuuliza Lema ameachiwa katika mazingira gani.