Tanzania: Maandamano ya chama cha Chadema mjini Arusha
5 Januari 2011Matangazo
Inasemekana kuna watu waliojeruhiwa na pia maafisa wa vyeo vya juu wa chama hicho kutiwa mbaroni.
Chadema kilitangaza tangu kumalizika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka jana nchini Tanzania kwamba kitafanya maandamano nchini kote kuibinya serikali ifanye marekebisho ambayo chama hicho kinasema ni muhimu yafanyike nchini humo.
Othman Miraji alizungumza na Dr. Wilbrod Slaa, mtetezi wa chama cha Chadema katika uchaguzi uliopita wa urais na aliyeshiriki leo katika maandamano ya Chadema huko Arusha...
Mhariri: Othman Miraji
Mpitiaji : Josephat Charo