SiasaTanzania: Magufuli amtetea Paul Makonda04.10.20174 Oktoba 2017Rais wa Tanzania, John Magufuli, amesema hajali iwapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ana vyeti halisi au la, anachojali ni kuwa Makonda anapambana na madawa ya kulevya. Mchambuzi Bashiru Ally afafanua.Nakili kiunganishiPicha: DW/S. MichaelMatangazommt J2.04.10.2017-Magufuli's Statement - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.