1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mzozo wa Serikali ya Muungano na Zanzibar kuhusu mgao wa Bajeti

23 Julai 2008

Visiwani Zanzibar Wizara ya Fedha na Uchumi imesema maelezo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Muhammed Seif Khatib na Naibu Waziri wa Fedha ni ya upotoshaji yasiyo na ukweli wowote.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Wizara hiyo jana, ilisema Serikali ya Muungano haijawahi kutoa mgao wa misaada ya kibajeti inayopelekewa kwa njia ya mikopo kwa SMZ na badala yake mikopo hiyo imekuwa ikitolewa na Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) na washirika wengine wa maendeleo.

Mwandishi wetu Salma Said ana ripoti kamili.


Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW