1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

02:51

This browser does not support the video element.

16 Juni 2020

Nchini Tanzania bado watoto wanaadhimisha siku hii wakiwa wanapambana na ukatili wa kijinsia, hatari ya kuolewa katika umri mdogo na ukeketaji. Wanaharakati wa kupambana na haki za watoto wanasema ukosefu wa uwazi na uwajibikaji ni sehemu inayorudisha nyuma harakati za kumkomboa mtoto.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW