Wakimbizi zaidi ya 80 wanashikiliwa na polisi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu zilizolenga kulituhumu jeshi la polisi kwa kutodhibiti matukio ya uhalifu kambini humo.
Matangazo
J2 10.01 Tanzania/ Nyarugusu: Unruhen im Flüchtlingscamp - MP3-Stereo