Tanzania: Vurugu zazuka bunge la Katiba
7 Machi 2014Matangazo
Mzozo huo ulitokana na mabishano miongoni mwa wabunge hao kuhoji kuhusu baadhi ya wabunge kupata nafasi ya kuchangia pasipo kuwemo katika orodha ya wachangiaji. Kutoka Dar es Salaam, Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Gwandumi Mwakatobe na kwanza alitaka kujua kwa nini kumetokea tukio hili katika kipindi hiki?
Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Josephat Charo