Tanzania imefanya hafla ya kuipa buriani miili ya wanajeshi wake wa kulinda amani waliouawa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Shirika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu la HUman Rights Watch limesema polisi wa Kenya waliwabaka na kuwashambulia raia wakati wa ghasia za hivi karibuni za uchaguzi. Na vwakuu wa nchi 50 za Kiislamu wautambua Jerusalem mashariki kuwa mji mkuu wa Wapalestina