JamiiAfrikaTanzania yarejesha mashindano ya michezo ya jadi02:46This browser does not support the video element.JamiiAfrika13.12.202113 Desemba 2021Baada ya takribani muongo mmoja, hatimae Tanzania yarejesha tena mashindano na matamasha ya michezo ya jadi, lengo kuu likiwa kuendeleza mila za jadi na kutumia jadi hizo katika kutoa ajira kupitia sekta ya utalii na maeneo mengine.Nakili kiunganishiMatangazo