JamiiTanzania yazindua jengo jipya la uwanja wa ndege01:46This browser does not support the video element.JamiiSylvia Mwehozi01.08.20191 Agosti 2019Tanzania yaanza kutumia jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Jengo hilo litaongeza idadi ya abiria na hivyo kuzidisha mapato. Vidio ya Kurunzi na Yakub Talib.Nakili kiunganishiMatangazo