Mila za kukeketa wasichana Tanzania bado zipo licha ya elimu kutolewa. Mwaka 2016 zaidi ya mabinti 800 wa Wilaya ya Tarime pekee walikeketwa na wengine 300 wakikimbia majumbani wakogopa kukeketwa.
Picha: DW/V. Natalis
Matangazo
Tarime yapambana na ukeketaji
This browser does not support the audio element.
Mabinti wa koo mbali mbali za kabila la Kikurya waliotoka kufanyiwa ukeketaji wakiwa wanatembezwa barabarani kama ishara kuwa wamekamilika baada ya kukeketwa.Picha: DW/V. Natalis
Bango la kupinga ukeketajiPicha: DW/V. Natalis
Mabinti kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na nchi jirani ya Kenya wakiwa wamehifadhiwa katika kambi ya Masanga TFGM baada ya kukimbia kukeketwa. Wamebeba mabango yenye ujumbe wa kupinga mila ya ukeketaji.Picha: DW/V. Natalis