1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la kuziba pumzi usingizini

03:03

This browser does not support the video element.

28 Aprili 2025

Je, Unajikuta Unachoka Sana Asubuhi? Unakoroma sana usiku? Unapumua kwa shida usingizini au kuamka ukikosa hewa? Hii inaweza kuwa dalili ya tatizo hatari lijulikanalo kama Obstructive Sleep Apnea — ambapo njia ya hewa huzibwa wakati wa usingizi bila wewe kujua! Mengi zaidi kwenye video hii ya afya.

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW