Kumeundwa tume ya pamoja itakayo wajumuisha wataalamu wa Ubelgiji,Ureno,DRC na Angola kwa ajili ya kutatua tatizo la mpakani la miezi tisa sasa baina ya Kongo na Angola .Kikao cha kwanza kimetoka kuitishwa nchini Ubeljiji baina ya pande zote nne.
Matangazo
Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo.