Ni maradhi ya damu ambayo mgonjwa hurithi kutoka kwa wazazi wenye vinasaba vinavyosababisha maradhi hayo, uelewa mdogo wa ugonjwa wa Selimundu kwa baadhi ya jamii Uganda unasababisha baadhi ya wazazi kuchelewa kugundua maradhi hayo, jamii kunyanyapaa wagoinjwa na wengine kufariki kwa kutokujua tatizo. Fuatilia video hii.