1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taylor kukabidhiwa kwa Mahkama ya Umoja wa Mataifa:

26 Novemba 2003
OTA, Nigeria: Nigeria itamrudisha nyumbani aliyekuwa zamani rais wa Liberia, Charles Raylor, ikiwa Liberia inataka kumfungulia mashtaka kuhusu uhalifu wa kivita. Kiongozi wa Nigeria, akimpa hifadhi Taylor, Agosti, kama ni sehemu ya muwafaka wa amani wa Liberia, awali alikuwa akipinga kumkabidhi kwenye Mahkama ya Umoja wa Mataifa kuchunguza uhalifu wa kivita nchini Sierra Leone. Na Obasanajo alisema atamshawishi kurudi Liberia iwapo inamtaka kumfungulia mashtaka. Taylor alipewa hifadhi nchini Nigeria kama ni sehemu ya muwafaka wa amani ili kumaliza vita vya miaka 14 vya kiraia vya Liberia.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW