Ousmane Dembele, mchezaji wa Paris Saint German na timu ya taifa ya Ufaransa ndiye mshindi wa Tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia, Ballon d'Or 2025. Lakini kabla ya kufikia hatua hii muhimu maishani alianzia wapi? Tazama safari yake katika soka la kulipwa.