1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tazama yaliojiri miaka 30 baada ya Ujerumani mbili kuungana

02:16

This browser does not support the video element.

10 Oktoba 2019

Ukanda wa Mauti umegeuka ukanda wa kijani baada ya miaka 30 ya kuangushwa ukuta Uliogawa Ujerumani mara mbili. Limekuwa eneo la kupendeza. Kuna viumbe hai wa kila aina katika mji wa Goslar katika jimbo la Saxony Anhalt ambalo wavuka mpaka waliuwawa. Sudi Mnette katembelea eneo mjini.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW