TeknolojiaUnyanyasaji wa kijinsia katika ulimwengu wa mtandaoni03:07This browser does not support the video element.TeknolojiaHawa Bihoga10.03.202310 Machi 2023Zama za utandawazi znazidi kutamalaki "Metaverse," kama wengi wanavyoiita, inaweza kubadilisha jinsi tunavyofanya kazi, kujifunza na kuwasiliana.Lakini inaweza kusababisha unyanyasaji mtandaoni ambao pengine hujawahi kushuhudiwa.Nakili kiunganishiMatangazo