Inaelezwa kwamba asilimia 10 hadi 15 ya watu wanakabiliwa na tatizo la kukosa usingizi. Watafiti Uholanzi wamevumbua app pamoja na roboti la kukusaidia kulala, kupambana na tatizo linalofahamika kama insomnia.
Picha: Somnox
Matangazo
FE: Sema Uvume-Technology that helps us fall asleep 14/15 - MP3-Stereo