1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TELAVIV.Katibu Mkuu Annan awasili Israel

29 Agosti 2006

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa bwana Kofi Annan amewasili Isreal kutokea Lebanon ambapo mapema leo

alilitembelea jeshi la kimataifa linalolinda amani kusini mwa nchi hiyo.

Bwana Annan anatazamiwa kuwa na mazungumzo na viongozi wa Israel juu ya hatua za kijeshi ambazo bado inatekeleza dhidi ya Lebanon.

Majeshi ya Israel bado yemezifunga bandari na viwanja vya ndege vya Lebanon.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW