Tabia NchiUlayaTheluji kila kona Ulaya01:12This browser does not support the video element.Tabia NchiUlaya09.01.20269 Januari 2026Mataifa mengi ya Ulaya yamegueka meupeee, kwa sababu ya theluji. Kila mtu amejifunika gubigubi. Nje unatoka kwa tahadhari usije ukaganda. Vipi, unaweza ´kutoboa´ msimu wa baridi barani Ulaya? Nakili kiunganishiMatangazo