1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Puto la tumbo la chakula ili kupunguza unene

04:32

This browser does not support the video element.

16 Januari 2023

Utaratibu wa kuwekewa puto ndani ya tumbo la chakula, kitaalamu Intragastric baloon, ambalo hupunguza nafasi kwenye tumbo kwa ajili ya kupunguza uzito au unene uliopitiliza. Tazama video ya utaratibu huo kisha utuambie... Je, unaweza kufanyiwa aina hii ya matibabu?