1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tiba ya vitendo kwa waathirika wa dawa za kulevya

04:02

This browser does not support the video element.

Tatu Karema Ahmad Juma
27 Februari 2023

Dawa za kulevya husababisha madhara makubwa kwa binadamu. Tatizo moja kubwa ni kwamba waraibu mara nyingi hupoteza ari ya kujishughulisha na shughuli za kujikimu kimaisha . Lakini katika hospitali ya taifa ya Muhimbili nchini Tanzania, hali ni tofauti. Walioacha uraibu huo, wamepata ajira hospitalini humo. Unazungumziaje hatua hiyo? Tazama video iliyotayarishwa na Ahmad Juma. #Kurunzi 27.02.2023

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW