1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpira wa kikapu kwa wasichana wageuka fursa

06:27

This browser does not support the video element.

16 Juni 2023

Wasichana wanatumia timu yao ya mpira wa kikapu kupata fursa zaidi katika maisha yao ya kila siku ikiwemo biashara, kazi na hata kuongeza mtandao wa watu. Wanautazama mchezo huu kwa namna ya tofauti. Je wewe unautazama vipi mchezo unaoupenda na vipi umekupa fursa?

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Hawa Bihoga/DWPicha: Hawa Bihoga/DW

Msichana Jasiri

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!