Tjenesani Ntungakwa, Zimbabwe
23 Mei 2013![Goodwills Masimirembwa, head of the Zimbabwe Mining Development Corporation (ZMDC) Copyright: DW/Columbus Mavhunga 12 und 13.11. 2012](https://static.dw.com/image/16380787_800.webp)
Matangazo
"Ninauangalia Umoja wa Afrika kama jumuia mpya ya matumaini mema. Umechangia kutufanya sisi nchini Zimbabwe tuwe na serikali ya umoja wa taifa. Hata katika vita vya Kongo ambavyo Zimbabwe, Uganda, Rwanda na Burundi zilihusika, Umoja wa Afrika umewajibika sana. Mimi, kama Mzimbabwe, ninaamini Umoja wa Afrika unaweza kufanikiwa pia katika maeneo ya mizozo mfano wa Somalia."