Tofauti kubwa zimeanza kujitokeza kati ya viongozi wa chama cha ODM Kenya kufuatia ziara ya baadhi ya viongozi wa chama hicho mjini London,Uingereza ambapo mmoja wao alitoa matamshi yasiyoridhisha.
Matangazo
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo anaripoti zaidi kutoka Nairobi.