TOKYO : Tetetemo la ardhi lapiga Kyushu
20 Machi 2005Matangazo
Tetemeko kubwa la ardhi lenye kipimo cha richter 7.0 limepiga kisiwa kikuu cha kusini mwa Japani cha Kyushu,
Idara ya utabiri wa hali ya hewa ya Japani imesema kwamba ilitowa onyo la kuzuka kwa gharika la tsunami kwenye kisiwa hicho lakini tahadhari hiyo iliondolewa saa moja baadae.
Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha CNN mtu mmoja ameuwawa na wengine 250 kujeruhiwa kutokana na tetem