1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump aitoa Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran

01:29

This browser does not support the video element.

9 Mei 2018

Rais Donald Trump ametangaza kuitoa Marekani katika mkataba wa kimataifa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, na kutangaza kurejesha vikwazo vikali vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo. Iran na mataifa washirika wa Marekani wanasemaje?