1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump amteua mfanyabiashara Bessent kama waziri wa fedha

23 Novemba 2024

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mwekezaji Scott Bessent kuwa waziri mpya wa fedha, taarifa hiyo amechapisha kwenye kwenye mtandao wake wa kijamii.

USA I Ashville - Scott Bessent
Mteule wa urais wa chama cha Republican, Rais wa zamani, Donald Trump, kushoto, akimsikiliza mwekezaji Scott Bessent akizungumza kuhusu uchumi huko Asheville, N.C., Jumatano, Agosti 14, 2024.Picha: Matt Kelley/AP/picture alliance

Besent, 62, ndiye mwanzilishi wa kundi la makampuni ya  "hedge fund Key Square."  Awali alikuwa afisa mkuu wa uwekezaji wa ofisi nyingine iitwayo "Fund Management" na anachukuliwa kuwa mtaalam wa jumla wa ulimwengu uwekezaji.Pamoja na kumtaka awajibike katika kupunuza deni la taifaTrump amesema Besent atashughulikia kushughulikia kukosekana kwa usawa katika biashara ya nje na kuzingatia ukuaji wa uchumi.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW