Baada ya kuukataa mkataba wa tabia nchi Wamarekani waandamana kumpinga Trump,Wakimbizi 44 wafariki kwa kiu kikali jangwa la Sahara wakielekea Libya na Tume ya uchaguzi Rwanda yabadili kibao baada ya kuzodolewa na wapinzani pamoja na wanadiplomasia kuhusu mitandao ya kijamii