1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump asema NATO yaafikiana kuongeza bajeti ya ulinzi

01:20

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
12 Julai 2018

Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha uwanachama wa Marekani katika jumuiya ya kujihami NATO, na kusema jumuiya hiyo imeafikiana kuongeza kiwango cha bajeti ya ulinzi baada ya awali kutishia kujitoa kwa madai kwamba nchi yake inachangia kiwango kikubwa zaidi cha fedha ikilinganishwa na washirika wenzake wa nchi za Ulaya.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW