SiasaTrump atoka hospitali baada ya kutibiwa COVID-1901:08This browser does not support the video element.Siasa06.10.20206 Oktoba 2020Rais wa Marekani ameondoka hospitali baada ya kutibiwa COVID-19. Rais Trump amesema anajisikia vizuri sana. Hata hivyo haijajulikana atakaa karantini kwa muda gani. Awali alisema anatarajia kurejea kwenye kampeni hivi karibuni. #Kurunzi #COVID-19Nakili kiunganishiMatangazo